Nandy – Mlete
Mlete Song By Nandy Mp3 Download
Immensely gifted Tanzanian singer-songwriter, performer, and actress, Nandy, presents a new pulsating single captioned “Mlete.”
Furthermore, this new single, her seventh track of the year 2024, acts as a follow-up to “Usemi Sina,” her earlier delivery where she joined forces with famous Tanzanian singer, songwriter and Konde Music Worldwide Boss, Harmonize.
Mlete Song Lyrics Below.
INTRO
Zombie akipiga ka’ hapigi tena
(The African Princess)
(S2kizzy baby)
VERSE
Eti hana kitu, mi’ nd’o ni’shapendana nae
Hajui kuvaa, ila mi’ nd’o natoka nae
Sio mzuri sana, ila naendana nae
Si ananifaa, nd’o mana nadunda nae
PRE-CHORUS
Kama una wako-ooh
(Mlete)
Kama unahisi anamzidi wa kwangu
(Mlete)
Ka’ una chuma chako-ooh
Kilete
Kama unahisi kinazidi cha kwangu
(Kilete)
CHORUS
Aah-aah-aah
Ka’ una baby wako
(Mwite, mwite)
Tumthaminishe
(Mwite, mwite)
Basi mpost tumuone
(Mwite, mwite eeh)
Tumpambanishe
(Mwite, mwite)
POST-CHORUS
We’ kama una wako-ooh
(Mlete)
Kama unahisi anamzidi wa kwangu
(Mlete)
Ka’ una chuma chako-ooh
Kilete
Kama unahisi kinazidi cha kwangu
(Kilete)
VERSE
Hodi, hodi, shemeji record
Zombie mwenyewe nd’o kapiga machord
(Hodi, hodi, shemeji record)
(Zombie mwenyewe ndo’ kapiga machord)
BRIDGE
Oya, oya, oya, oya
Mi’ na maanko sina anko boya, boya
(Oya, oya, oya, oya)
(Mi’ na maanko sina anko boya, boya)
PRE-CHORUS
We’ kama una wako-ooh
(Mlete)
Kama unahisi anamzidi wa kwangu
Mlete
Ka’ una chuma chako-ooh
(Kilete)
Kama unahisi kinazidi cha kwangu
(Kilete)
CHORUS
Aah-aah-aah
Ka’ una baby wako
(Mwite, mwite)
Tumthaminishe
(Mwite, mwite)
Basi mpost tumuone
(Mwite, mwite, eeh)
Tumpambanishe
(Mwite, mwite)
POST-CHORUS
We’ kama una wako-ooh
(Mlete)
Kama unahisi anamzidi wa kwangu
(Mlete)
Ka’ una chuma chako-ooh
(Kilete)
Kama unahisi kinazidi cha kwangu
(Kilete)
OUTRO
Kamix Lizer
Listen & Download Mlete Song By Nandy Mp3 With Lyrics Below.
Do you find Loadedsongs useful? Click here to give us five stars rating!