Darassa – Information

Information Song By Darassa Mp3 Download


Information Song By Darassa

Massively gifted Tanzanian musical artist and songwriter, Darassa has unveiled a brand new electrifying tune tagged “Information.” 

Further to this, this new pulsating delivery fills in as a sequel to his previously dropped amazing record dubbed I Don’t Care.” 

Likewise, this wonderful composition has sweet melodies will surely get you going. If you’re a fan of good music, it’s a must-add to your collection.


Information Song Lyrics By Darassa Below

INTRO

Did your Mom not tell you, don’t go play outside

When the weather is bad ? !!!

VERSE 1

Usipolala macho hauna chako umeuwawa

Ukikimbia battle we sio commando ni coward

Uku kina cha bahari umezoea kuoga kwenye bwawa

Uku umekuja sayari haina kunguni haina chawa

Utapagawa manyanga madawa, ni Mungu anagawa ndio anayenipa power

Tuko kwenye rush hour, kutoka bila shower kula bila kunawa

BRIDGE

Ukijifanya rude mimi mwenyewe nimepinda jambazi Masudi

No Cash No Food Baba utakula hiyo Attitude

Ukiniletea Mood mimi ndio napendaga sana very good, very good

No Cash No Food hapa utakula hiyo Attitude

CHORUS

Oyaa We si unataka INFORMATION W.W.W download APPLICATION

Si unapenda penda kujua inavyokwenda Situations ok W.W.W download

APPLICATION

Oyaa Oyaa Oya We si unataka INFORMATIONS W.W.W download APPLICATION

Si unapenda penda kujua inavyokwenda Situations ok W.W.W download

APPLICATION

VERSE 2

Radio imemeza kanda,

hawana nyimbo washasanda,

kitumbua kimeingia mchanga

Mbona wata watabamba

Proper proper ganda

Mara kimeshuka kimepanda

Kuleta pigo za kishamba

Moto moto pamba PUUH

BRIDGE

Ukijifanya rude mimi mwenyewe nimepinda jambazi Masudi

No Cash No Food Baba utakula hiyo Attitude

Ukiniletea Mood mimi ndio napendaga sana very good, very good

No Cash No Food hapa utakula hiyo Attitude

Listen & Download Information Song By Darassa Mp3 Below.

 

Download Mp3 Here 

 

Do you find Loadedsongs useful? Click here to give us five stars rating!

More
 

Join the Discussion

No one has commented yet. Be the first!

Leave a Reply

Your email address will not be published.